Hengelo (Overijssel)
Hengelo ni mji katika mkoa wa Overijssel nchini Uholanzi. Idadi ya wakazi wake ni takriban 81,051. Hengelo pia ni jina la kijiji katika manispaa ya Bronckhorst, mkoa wa Gelderland.
Hengelo | |||
Kanisa ya St. Lambertus kwenye kitovu cha Hengelo | |||
| |||
Mahali pa mji wa Hengelo katika Uholanzi |
|||
Majiranukta: 52°16′0″N 6°47′0″E / 52.26667°N 6.78333°E | |||
Nchi | Uholanzi | ||
---|---|---|---|
Mkoa | Overijssel | ||
Idadi ya wakazi (2008) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 81,051 |
Tazama pia
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uholanzi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hengelo (Overijssel) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |