Henrietta Rose-Innes
Henrietta Rose-Innes (alizaliwa 14 Septemba 1971) ni mwandishi wa kike kutoka nchini Afrika Kusini. Alikuwa mshindi wa tuzo ya Caine ya Kuandika Afrika mnamo mwaka 2008[1] kwa hadithi yake ya uvumi wa "Sumu".[2] Riwaya yake ya Nineveh iliorodheshwa katika tuzo ya 2012 Sunday Times Prize for Fictionna na tuzo ya M-Net. Mnamo Septemba mwaka 2012 hadithi yake "Sanctuary" ilishika nafasi ya pili katika tuzo ya 2012 ya BBC (Inter) ya Hadithi fupi ya kitaifa.
Henrietta Rose-Innes | |
Nchi | Afrika Kusini |
---|---|
Majina mengine | Henrietta Rose |
Kazi yake | Mwandishi |
Marejeo
hariri- ↑ Lindesay Irvine, "Henrietta Rose-Innes wins £10,000 Caine prize", The Guardian, 8 July 2008.
- ↑ "Prize-winning fiction: Apocalypse now – Readers reward horrible histories", The Economist, 10 July 2008.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Henrietta Rose-Innes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |