Henriette Ekwe Ebongo
Mwandishi wa habari na mwanaharakati wa kisiasa wa nchini Kameruni
Henriette Ekwe Ebongo (25 Desemba , mwaka 1949)[1]ni mwandishi wa Kameruni, mchapishaji na mwanaharakati wa kisiasa. Alipewa Tuzo ya Kimataifa ya Wanawake wa Ujasiri mnamo mwaka 2011.[2][3]
Ebongo ni mtetezi wa uhuru wa vyombo vya habari, usawa wa kijinsia, haki za binadamu, na utawala bora. Alikuwa akihusika katika mapambano dhidi ya udikteta miaka ya 1980, na kampeni ya sasa dhidi ya ufisadi wa serikali, ubaguzi wa kijinsia na ukiukwaji wa haki za binadamu. Wakati huu amepata ukandamizaji, mateso, na kupelekwa katika mahakama ya jeshi.[2][4]
Yeye ndiye mchapishaji wa gazeti huru la kila wiki Babela na ni mwanzilishi wa tawi la Kamerun la Transparency International, kupambana na ufisadi shirika lisilo la kiserikali.[5]
Marejro
hariri- ↑ "Cameroun: Henriette Ebongo Ekwe, mourir plutôt que de trahir". Journal du Cameroun. Iliwekwa mnamo 12 Julai 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 2.0 2.1 "Ekwe Ebongo of Cameroon and nine others win International Women of Courage award". afripol.org. 14 Machi 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-04. Iliwekwa mnamo Juni 30, 2011.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Secretary Clinton To Host the 2011 International Women of Courage Awards". 2011-06-30. Iliwekwa mnamo 2017-03-09.
- ↑ "Embassy Transcripts | Embassy of the United States Bishkek, Kyrgyz Republic". bishkek.usembassy.gov. 8 Machi 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 Oktoba 2011. Iliwekwa mnamo Juni 30, 2011.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Cameroonian Journo Wins International Women Of Courage Award", news.cameroon-today.com. Retrieved on 2021-05-29. Archived from the original on 2019-05-04.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Henriette Ekwe Ebongo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |