Henriette Grové

Muandishi wa Afrika Kusini

Hester Henriette Grové (née Venter) (26 Septemba 1922 - 15 Desemba 2009)[1] alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini.[2] Anajulikana zaidi kwa aina ya hadithi na simulizi zake, ni mmoja kati ya waandishi wachache walioshinda tuzo ya Hertzog Prize.

Henriette Grove
Amekufa Disemba 15 2009
Nchi Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini
Majina mengine (née Venter)
Kazi yake Mwandishi

Aliolewa na mwanafasihi ajulikana nae kama A.P. Grové.

Marejeo

hariri
  1. du Plooy, Heilna (Januari 2010). "Henriette Grové: 26 September 1922 - 15 Desember 2009" [Henriette Grové 26 September 1922 - 15 December 2009]. Tydskrif vir Letterkunde (kwa Afrikaans). 47 (2).{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. Profile
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henriette Grové kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.