Henry Callaway

Mmisionari, Askofu wa St

Henry Callaway (17 Januari 1817 - 26 Machi 1890) alikuwa daktari, askofu na mwandishi wa Uingereza aliyekaa na kufanya kazi Afrika Kusini miaka 1854-1876.

Henry Callaway
Nchi Afrika Kusini
Kazi yake Askofu
Henry_Callaway

Vitabu vyake

hariri
  • Immediate Revelation (1841)
  • The Way to Christ (1844)
  • Memoir of James Parnell (1846)
  • The Good Tidings of Great Joy (1854)
  • The Last Word of "Modern Thought" (1866)
  • Nursery Tales, Traditions, and Histories of the Amazulu (1868)
  • The Religious System of the Amazulu (1868-1884)
  • Some Remarks on the Zulu Language (1870)
  • A Sermon on the Ordination of Two Natives (1872)
  • Kaffraria Church Mission (1874)
  • A Fragment on Comparative Religion (1874)
  • Missionary Sermons (1875)
  • On the Religious Sentiment Amongst the Tribes of South Africa (1876)
  • From Pondoland to Cape Town and Back (1877)
  • A Brief Account of the Kaffraria Church Mission From 1874-1877 (1877)

Angalia pia

hariri

Marejeo

hariri
  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henry Callaway kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.