1890
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1860 |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880 |
Miaka ya 1890
| Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| Miaka ya 1920
| ►
◄◄ |
◄ |
1886 |
1887 |
1888 |
1889 |
1890
| 1891
| 1892
| 1893
| 1894
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1890 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
hariri- 1 Julai - Mkataba wa Helgoland-Zanzibar kati ya Ujerumani na Uingereza
Waliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2025 MMXXV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5785 – 5786 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2778 |
Kalenda ya Ethiopia | 2017 – 2018 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1474 ԹՎ ՌՆՀԴ |
Kalenda ya Kiislamu | 1447 – 1448 |
Kalenda ya Kiajemi | 1403 – 1404 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2080 – 2081 |
- Shaka Samvat | 1947 – 1948 |
- Kali Yuga | 5126 – 5127 |
Kalenda ya Kichina | 4721 – 4722 甲辰 – 乙巳 |
- 10 Februari - Boris Pasternak (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1958)
- 12 Machi - Mfalme Idris I wa Libya
- 31 Machi - Lawrence Bragg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1915)
- 15 Mei - Katherine Anne Porter, mwandishi kutoka Marekani
- 20 Mei – Allan Nevins (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1933)
- 20 Julai - Verna Felton, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 13 Oktoba – Conrad Michael Richter, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1951
- 14 Oktoba - Dwight D. Eisenhower, Rais wa Marekani (1953-1961)
- 13 Desemba - Marc Connelly, mwandishi kutoka Marekani
- 20 Desemba - Jaroslav Heyrovsky (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1959)
- 21 Desemba - Hermann Muller (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1946)
- 21 Desemba - Frances Goodrich, mwandishi kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 29 Julai - Vincent van Gogh, mchoraji kutoka Uholanzi
- 11 Agosti - John Henry Newman, askofu Mkatoliki kutoka Uingereza
- 8 Novemba - César Franck, mtunzi wa muziki kutoka Ubelgiji
Wikimedia Commons ina media kuhusu: