Henry Pope ni jina la mhusika katika kipindi cha televisheni cha Kimarekani, maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Stacy Keach. Katika mfululizo huu, alicheza kama mkuu wa gereza la Fox River State Penitentiary. Aliamini ya kwamba kila mfungwa anastahili heshima, na ndiyo maana alianzisha prison industry (PI) na vipindi vya elimu ambavyo vinamruhusu mfungwa kuweza kujipatia masomo akiwa jela.

Stacy Keach katika Mkutano wa Kuzuka mnamo Mei 2007.
Uhusika wa Prison Break
Henry Pope
Mwonekano wa kwanza: Pilot
Msimu: 1,2
Imechezwa na: Stacy Keach)
Kazi yake: Mkubwa wa gereza la Fox River

Viungo vya nje

hariri