Herme (Kigiriki cha Kale: Ἑρμῆς, Hermēs) ni mjumbe wa miungu na mungu wa biashara, wezi na njia panda katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Mercurius katika dini ya Roma ya Kale.

Herme
Sanamu ya Herme
Mjumbe wa miungu
Mungu wa biashara, wezi, wasafiri, wanariadha na njia panda
MakaoMlima Olimpos
AlamaSerbero, Kaduseo, Talaria, Ng'amba, Lira, Jogoo
MwenziMerope, Afrodita, Driope, Peitho
WazaziZeu na Maya
Ulinganifu wa KirumiMercurius
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.