Hermine Patricia Tomaïno Ndam Njoya
Hermine Patricia Tomaïno Ndam Njoya alizaliwa tarehe 26 Januari mnamo mwaka 1969 jijini Yaoundé, ni mwanasiasa, mjasiriamali, na mwandishi kutoka nchini Kamerun. Pia mwanachama wa Union démocratique du Cameroun (UDC) na ni mbunge katika Bunge la Taifa la Kamerun[1].
Hermine Patricia Tomaïno Ndam Njoya anaongoza kampuni ya kahawa na amekuwa rais wa Chama cha Wanawake wa Kamerun katika Sekta ya Kahawa (AFECC) tangu mwaka 2016. Hermine Patricia ni mjane wa Adamou Ndam Njoya, rais wa kitaifa wa UDC.
Tanbihi
hariri- ↑ "Cameroun : Les femmes qui tiennent l'opposition - Hermine Patricia Ndam Njoya : L'adepte de la politique des résultats : Cameroun - Camer.be". camer.be (kwa Kifaransa). 2016-03-30. Iliwekwa mnamo 2017-09-09.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hermine Patricia Tomaïno Ndam Njoya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |