Hifadhi muda

Katika utarakilishi, hifadhi muda (kwa Kiingereza: cache) ni vifaa au programu tete zinazotunza data ili ziletwe haraka zaidi. Tovuti zinatumia hifadhi muda ili watumiaji wafaidike na tovuti haraka zaidi.

Mchoro wa hifadhi muda wa bongo kuu tofauti.

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).