Hifadhi ya Kalakpa

Hifadhi ya Taifa nchini Ghana

Hifadhi ya Kalakpa, ni hifadhi ya msitu wa hekta 32,020 nchini Ghana . [1] [2] [3]

Ramani ya hifadhi ya kalakpa
Ramani ya hifadhi ya kalakpa

Mahali hariri

Hifadhi hiyo iko katika sehemu ya kusini mashariki mwa Nchi, takribani kilomita 120 kaskazini mashariki mwa mji mkuu wa Accra na takribani kilomita 30 kusini kutoka mji mkuu wa Mkoa wa Volta, Ho . [4] [5]

Marejeo hariri

  1. VOLTA REGION. Ghana Embassy - Japan. Iliwekwa mnamo 15 January 2017.
  2. Kalakpa | Protected Planet. Protected Planet. Iliwekwa mnamo 2018-09-30.
  3. Status Report for Ghana's Kalakpa Resource Reserve.
  4. VOLTA REGION. Ghana Embassy - Japan. Iliwekwa mnamo 15 January 2017.
  5. Volta Region - About Ghana. Peace FM. Iliwekwa mnamo 15 January 2017.