Hifadhi ya Mazingira ya Mikoko ya Beachwood

Hifadhi ya Mazingira ya Mikoko ya Beachwood iko kwenye mlango wa Mto Umgeni huko Durban Kaskazini katika kitongoji cha Durban, Afrika Kusini . [1] Hifadhi ya asili, iliyotangazwa mwaka 1977, [2] ina ukubwa hekta 76 za mfumo wa asili wa estuarine, na ilitangazwa kuwa kama mnara wa kitaifa mwaka 1980. [3]

Mtazamo kutoka kusini mwa Hifadhi ya Mikoko ya Beachwood
Mtazamo kutoka kusini mwa Hifadhi ya Mikoko ya Beachwood

Marejeo hariri

  1. "Beachwood Mangrove Nature Reserve, KwaZulu-Natal". South African Tourism. Iliwekwa mnamo 20 May 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. JayWay. "KZN Wildlife - Beachwood Mangrove". www.kznwildlife.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 August 2016. Iliwekwa mnamo 2016-05-20.  Check date values in: |archivedate= (help)
  3. Blackmore, Andrew (2017). "Beachwood Mangroves Nature Reserve". doi:10.13140/RG.2.2.34344.37125. Iliwekwa mnamo 18 May 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)