Hifadhi ya Taifa ya Deux Balés

Hifadhi ya Taifa ya Deux Balés ni mbuga ya taifa inayopatikana katikati mwa Burkina Faso . Iko ndani ya mkoa wa Mouhoun magharibi mwa Mto Black Volta na katika mwinuko wa mita 235-310. [1]

Historia hariri

Hifadhi ya taifa ya Deux Balés ilianzishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1937 kama forêts classées des Deux Balés ('the Deux Balés Classified Forests') yenye eneo la kilomita za mraba 610. [1] Wakati huo, ilikuwa sehemu ya Afrika Magharibi ya Ufaransa . Mnamo 1967, wakati sehemu ya Jamhuri mpya ya Volta ya Juu, eneo hilo lilipewa jina la Hifadhi ya taifa na kujulikana kama 'parc national des Deux Balés'. Walakini, bado hakuna sheria inayoiweka kama mbuga ya taifa. [1]

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 1.2 UNEP-WCMC Retrieved June 17, 2008.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Deux Balés kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.