Hifadhi ya Taifa ya Glenholme

Hifadhi ya Taifa Glenholme ni eneo la majani lenye hekari 100 linalomilikiwa na sekta binafsi lililopo Kloof, nje kidogo ya Durban, Afrika ya Kusini.[1]Mkondo mdogo katika hifadhi hiyo unaelekea kwenye maporomoko ya maji ambayo inaunda maji makuu katika mto wa Umbilo.[2]

Ramani ya kwa-Zulu Natal


Hifadhi hii inasimamiwa WESSA , pamoja na Kloof na SPCA. Hifadhi ya Glenholme inapatikana kupitia mwendo wa lisaa limoja na inapatikana karibu na Clive Cheesman Nature Reserve.[3]

Marejeo

hariri
  1. https://www.opengreenmap.org/greenmap/durban-ethekwini-municipality-south-africa/glenholme-nature-reserve-25082
  2. https://www.opengreenmap.org/greenmap/durban-ethekwini-municipality-south-africa/glenholme-nature-reserve-25082
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-18. Iliwekwa mnamo 2022-06-11.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Glenholme kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.