Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Kati

Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Kati ni kati ya hifadhi za taifa nchini Kenya. Inapatikana katika Kisiwa cha Kati cha ziwa Turkana na inatambulikana na UNESCO kama mahali pa Urithi wa Dunia

Kisiwa cha Kati kutoka juu.
Kisiwa kwa jirani zaidi.
Ziwa Flamingo ndani ya Kisiwa cha Kati cha Ziwa Turkana.

Marejeo hariri


Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: