Kisiwa cha Kati (Turkana)

Kisiwa cha Kati (Turkana) ni kisiwa cha Kenya kilichotokana na volikano, mita 550 juu ya usawa wa bahari.

Kisiwa cha Kati kutoka juu.
Kisiwa kwa jirani zaidi.
Ziwa Flamingo ndani ya Kisiwa cha Kati cha Ziwa Turkana.

Kinapatikana katika ziwa Turkana, kaunti ya Turkana.

Ni hifadhi ya taifa ya Kenya inayotambulikana na UNESCO kama mahali pa Urithi wa Dunia.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri