Hifadhi ya Taifa ya Kouroufing

Hifadhi ya Taifa ya Kouroufing, inapatikana nchini Mali. Ilianzishwa mnamo 16 Januari 2002. Ina eneo la kilomita za mraba 557.

Hifadhi hiyo ni sehemu ya Bafing Biosphere. [1] Kaskazini mwa mbuga hiyo kuna Ziwa Manantali.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Kouroufing kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.