Hifadhi ya Taifa ya Lag Badana

Hifadhi ya Taifa ya Lag Badana, ni [[hifadhi ya taifa iliyopo nchini Somalia , Iko kwenye pwani ya kusini ya mbali.

Muhtasari hariri

Lag Badana ilikuwa mbuga ya kwanza ya taifa kuanzishwa nchini humo. Katika nusu ya pili ya miaka ya 1980, Wizara ya Utalii Somalia chini ya utawala wa Siad Barre ilitafuta kuweka tasnia ya utalii katikati mwa eneo la mbuga, na miamba ya matumbawe ya karibu na visiwa vya pwani vile vile vilifikiriwa kama sehemu ya maendeleo. [1]

Wanyamapori hariri

Eneo la Lag Badana lina zaidi ya spishi 200 za mimea yenye mishipa na ni makazi kwa wanyama adimu kama kudu. Kati ya mimea yote, trakribani 20 ni endemic . [2]

Marejeo hariri

  1. Coastal and Marine Environmental Problems of Somalia, Volume 1. UNEP. 1987. uk. 127. 
  2. Oldfield, S.; IUCN/SSC Cactus and Succulent Specialist Group (1997). Cactus and Succulent Plants: Status Survey and Conservation Action Plan. Gland: IUCN. uk. 59. ISBN 978-2-8317-0390-9. Iliwekwa mnamo 28 April 2012.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Lag Badana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.