Hifadhi ya Taifa ya Lopé
Hifadhi ya Taifa ya Lopé, ni mbuga ya taifa ya nchini Gabon. Imepakana na Mto Ogooué upande upande wa kaskazini na Chaillu Massif upande wa kusini, mbuga hiyo inachukua takribani kilomita za mraba 4912. [1]
Ingawa eneo hilo ni la msitu wa monsuni, kaskazini mwa mbuga hiyo ina masalia ya mwisho ya savanna za nyasi zilizoundwa Afrika ya Kati wakati wa enzi ya barafu, miaka 15,000 iliyopita. [2]
Lilikuwa eneo la kwanza lililohifadhiwa nchini Gabon wakati Hifadhi ya Wanyamapori ya Lopé-Okanda ilipoundwa mnamo 1946, na mnamo 2007 kuwa mbuga ya taifa na mazingira ya karibu ya Lopé-Okanda iliongezwa kwenye Orodha ya Urithi wa Dunia na UNESCO kwa sababu ya bioanuwai yake, savanna ya kipekee- ukanda wa mpito wa msitu, na petroglyphs za kuvutia katika eneo hilo.
Marejeo
hariri- ↑ Lopé-Okanda (Gabon): No. 1147 rev (Ripoti). Iliwekwa mnamo 29 Jan 2022.
{{cite report}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Ecosystem and Relict Cultural Landscape of Lopé-Okanda". UNESCO World Heritage Centre. United Nations Educational, Scientific, and Cultural Organization. Iliwekwa mnamo 29 Jan 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Lopé kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |