Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kenya
Mbuga ya Taifa ya Mlima Kenya 0°07′26″S 37°20′12″E / 0.12389°S 37.33667°E, iliyoanzisha mwaka wa 1949, hulinda kanda inayozunguka Mlima Kenya. Awali ilikuwa ni hifadhi ya misitu kabla ya kutangazwa kama mbuga ya kitaifa. Hivi sasa ni mbuga ya taifa ndani ya hifadhi ya misitu ambayo imeizunguka.[1]Mnamo Aprili mwaka wa 1978 eneo hilo lilifanywa hifadhi ya Biosphere ya UNESCO. [2] Mbuga ya taifa na hifadhi ya misitu ziliunganishwa zikawa katika orodha ya Urithi wa Dunia wa UNESCO mwaka wa 1997.[3]
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Kenya Wildlife Service (2007). "Mount Kenya National Park". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-22. Iliwekwa mnamo 2008-02-23.
- ↑ United Nations Environment Programme (1998). "Protected Areas and World Heritage". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-02-12. Iliwekwa mnamo 2008-02-23.
- ↑ United Nations (2008). "Mount Kenya National Park/Natural Forest". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-12-30. Iliwekwa mnamo 2008-02-23.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kenya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |