Orodha ya Urithi wa Dunia katika Afrika

Makala hii inaorodhesha vituo 150 vilivyotajwa na UNESCO kuwa mahali pa Urithi wa Dunia katika Afrika (nchi 37 tu).

A map of World Heritage Sites in Africa as of 2016. The northern, eastern, and southern parts of the continent are relatively dense with sites; in contrast the western coast is home to relatively few.
Ramani ya mahali pa Urithi wa Dunia katika Afrika kutoka 2016
      hakuna mahali
      mahali 1-2 
      mahali 3-4 
      mahali 5-6 
      mahali 7+ 

MahaliEdit

Legend mwaka - Aina ya mahali - jina la mahali

  • mwaka: wakati ambao mahali paliwekwa katika Orodha ya Urithi wa Dunia
  • aina ya mahali: inaonyesha sifa ya mahali kama ni uasilia , utamaduni au mchanganyiko
  • jina la mahali: ni jina palilopewa mahali

Afrika KusiniEdit

 • 1999 - Utamaduni - Kitovu cha mwanadamu.
 • 1999 - Utamaduni - Robben Island.
 • 1999 - Asili - ISimangaliso Wetland Park.
 • 2003 - Utamaduni - SMapungubwe.
 • 2004 - Asili - Cape maarufu kwa maua.
 • 2005 - Asili - Vredefort Dome.
 • 2007 - Utamaduni - Richtersveld.
 • 2017 - Utamaduni - Mazingira ya Wakhomani.
 • 2018 - Asili - Milima ya Barberton Makhonjwa.

AlgeriaEdit

AngolaEdit

BeninEdit

 • 1985 - Utamaduni - Makumbusho ya Historia ya Abomey.

Benin*, Burkina Faso*, Niger*Edit

 • 2017 - Asili - Hifadhi za Taifa za (W, Arly na) Pendjari.

BotswanaEdit

Burkina FasoEdit

 • 2009 - Utamaduni - Magofu ya Loropéni.
 • 2019 - Utamaduni - Mahali pa uhunzi wa kale.

CameroonEdit

 • 1987 - Asili - Hifadhi ya Wanyama ya Dja.

Cameroon*, Jamhuri ya Afrika ya Kati*, Jamhuri ya Kongo*Edit

Cape VerdeEdit

 • 2009 - Utamaduni - Cidade Velha.

ChadEdit

Côte d'IvoireEdit

 • 1982 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Taï.
 • 2012 - Utamaduni - Grand-Bassam.
 • 1983 - Asili - Comoé National Park In danger †.

Côte d'Ivoire*, Guinea*Edit

 • 1981 - Asili - Mount Nimba Strict Nature Reserve †.

EritreaEdit

EthiopiaEdit

 • 1980 - Utamaduni - Bonde la Awash.
 • 1978 - Utamaduni - Makanisa yaliyochongwa mwambani, Lalibela.
 • 1979 - Utamaduni - Fasil Ghebbi.
 • 1978 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Semien †
 • 2006 - Utamaduni - Harar Jugol.
 • 1980 - Utamaduni - Bonde la Omo.
 • 2011 - Utamaduni - Mazingira ya Utamaduni Konso.
 • 1980 - Utamaduni - Tiya.
 • 1980 - Utamaduni - Aksum.

GabonEdit

 • 2007 - Mchanganyiko - Lopé national Park

GambiaEdit

 • 2003 - Utamaduni - Kisiwa Kunta Kinteh

Gambia*, Senegal*Edit

 • 2006 - Utamaduni - Stone Circles Senegambia

GhanaEdit

 • 1979 - Utamaduni - Forts and Castles, Volta, Greater Accra
 • 1980 - Utamaduni - Majengo ya jadi ya Waashanti

Hispania [note 1]Edit

Jamhuri ya Afrika ya KatiEdit

 • 1988 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Manovo-Gounda St Floris †.

Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoEdit

KenyaEdit

Lesotho*, Afrika Kusini*Edit

 • 2000 - Mchanganyiko - Maloti-Drakensberg Park

LibyaEdit

MadagaskaEdit

 • 2001 - Utamaduni - Ambohimanga
 • 2007 - Asili - mvua ya Atsinanana †
 • 1990 - Asili - Tsingy de Bemaraha Nature Reserve

MalawiEdit

MaliEdit

MauritaniaEdit

 • 1989 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Banc d'Arguin
 • 1996 - Utamaduni - Oualata

MisriEdit

MorisiEdit

 • 2006 - Utamaduni - Aapravasi Ghat
 • 2008 - Utamaduni - Morne Brabant

MorokoEdit

MsumbijiEdit

 • 1991 - Utamaduni - Kisiwa cha Mozambique

NamibiaEdit

NigerEdit

NigeriaEdit

 • 1999 - Utamaduni - Sukur Utamaduni Landscape
 • 2005 - Utamaduni - Osun-Oshogbo

SenegalEdit

 • 1978 - Utamaduni - Kisiwa cha Goree
 • 1981 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Niokolo-Koba †
 • 2000 - Utamaduni - Saint-Louis
 • 1981 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Bird Sanctuary
 • 2011 - Utamaduni - Saloum Delta National Park
 • 2012 - Utamaduni - Kibasari nchi

ShelisheliEdit

 • 1982 - Asili - Aldabra
 • 1983 - Asili - Vallée de Mai

SudanEdit

 • 2003 - Utamaduni - Gebel Barkal
 • 2011 - Utamaduni - Méroé
 • 2016 - Asili - Marine national Park

TanzaniaEdit

TogoEdit

TunisiaEdit

Ufalme wa MuunganoEdit

 • 1995 - Asili - Kisiwa Inaccessible

Ufaransa [note 2]Edit

 • 2010 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Réunion

UgandaEdit

UrenoEdit

Zambia*, Zimbabwe*Edit

ZimbabweEdit

 • 1986 - Utamaduni - Zimbabwe Kuu
 • 1984 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Mana Pools
 • 2003 - Utamaduni - Hifadhi ya Taifa ya Matobo
 • 1986 - Utamaduni - Khami

TanbihiEdit

MaelezoEdit

 1. Hispania: maeneo haya ziko katika Afrika.
 2. Kwa Ufaransa: Reunion.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Orodha ya Urithi wa Dunia katika Afrika kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.