Hifadhi ya Taifa ya Nimule

Hifadhi ya Taifa ya Nimule ni mbuga ya taifa nchini Sudan Kusini. Ilianzishwa mnamo 1954, na inaenea zaidi ya eneo la kilomita za mraba 410, kando ya mpaka na Uganda. [1]

Marejeo

hariri
  1. Guides, Bradt. "Nimule National Park". Bradt Guides (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-08. Iliwekwa mnamo 2021-01-06.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Nimule kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.