Hifadhi ya Taifa ya Waza

Hifadhi ya Taifa ya Waza, ni mbuga ya taifa katika Idara ya Logone-et-Chari, katika Mkoa wa Kaskazini ya Mbali, Kamerun . [1]

Picha ya Tembo katika Hifadhi ya Waza
Picha ya Tembo katika Hifadhi ya Waza

Ilianzishwa mwaka 1934 kama hifadhi ya uwindaji, na ina jumla ya eneo la kilomita za mraba 1,700.[2] Waza ilipata hadhi ya mbuga ya taifa mwaka 1968, na ikawa hifadhi ya UNESCO mwaka 1979. [3]

Marejeo hariri

  1. MacAllister, Mark. "June 2005 Waza Anti-Poaching Report". Field Trip Earth. North Carolina Zoological Society. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-09-27. Iliwekwa mnamo 2007-01-28. 
  2. "World Conservation Monitoring Centre". 1983. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-02-07. Iliwekwa mnamo 2007-01-28. 
  3. "Waza National Park (Important Birds Areas of Cameroon)". World Bird Database. BirdLife International. 2005. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-03. Iliwekwa mnamo 2007-01-28. 
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Waza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.