Hifadhi ya Taifa ya Zakouma

Hifadhi ya Taifa ya Zakouma, Ina eneo la kilomita za mraba 1,158, ni mbuga ya taifa ilyopo kusini mashariki mwa Chad, inayozunguka mpaka wa Mkoa wa Guéra na Mkoa wa Salamat . [1] [2] [3] I

Ilianzishwa kuwa mbuga ya taifa mwaka 1963 kwa amri ya rais, na kuipa ulinzi wa hali ya juu zaidi unaopatikana chini ya sheria za taifa.

Historia hariri

Zakouma ndiyo mbuga kongwe zaidi ya taifa ya Chad, [4] iliyoanzishwa na serikali ya taifa hilo mwaka wa 1963. [5] [6]


Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Zakouma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.