Highridge ni mtaa tajiri wa Nairobi, mji mkuu wa Kenya. Pamoja na Parklands unaunda kata mojawapo ya kaunti ya Nairobi, eneo bunge la Westlands.

Tanbihi hariri