Kaunti ya Nairobi

Kaunti ya Nairobi ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 4,397,073 katika eneo la km2 703.9, msongamano ukiwa hivyo wa watu 6,247 kwa kilometa mraba[1].

Makao makuu yako jijini Nairobi.

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [2]Edit

 • Dagoretti 434,208
 • Embakasi 988,808
 • Kamukunji 268,276
 • Kasarani 780,656
 • Kibra 185,777
 • Lang'ata 197,489
 • Makadara 189,536
 • Mathare 206,564
 • Njiru 626,482
 • Starehe 210,423
 • Westlands 308,854

Maeneo bungeEdit

Tazama piaEdit

TanbihiEdit