Hiroki Itō (mchezaji wa soka, alizaliwa 1999)

Hiroki Itō (伊藤 洋輝, Itō Hiroki, alizaliwa 12 Mei 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambaye anacheza kama beki wa kati na beki wa kushoto wa klabu ya Bundesliga Bayern Munich na timu ya taifa ya Japani. [1]

Marejeo

hariri
  1. "Hiroki Itō".
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hiroki Itō (mchezaji wa soka, alizaliwa 1999) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.