Historia ya Gabon
Historia ya Gabon inahusu eneo la Afrika ya Kati ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Gabon.
HistoriaEdit
Baada ya uhuruEdit
Jamhuri ya Gabon, kutoka kushinda uhuru kutoka ukoloni wa Ufaransa tarehe 17 Agosti 1960, imeongozwa na Rais watatu, Léon M'ba, El Hadj Omar Bongo ambaye amekuwa kiongozi kutoka mwaka wa 1967 hadi kifo chake (2009: ndiye aliyekuwa kiongozi barani Afrika aliyeshikilia uongozi kwa muda mrefu zaidi), halafu mwanae Ali.
Nyumba ya baraza, Libreville
Mwaka wa 1990 Gabon ilianza demokrasia ya vyama vingi na katiba ya kidemokrasia ambayo inaruhusu ukweli wa uchaguzi na utekelezaji wa idara za serikali.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Gabon kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |