Hkakabo Razi
Hkakabo Razi ni mlima wenye kimo cha m 5,881 juu ya usawa wa bahari.
Uko Myanmar na ni mrefu kuliko yote ya Asia Kusini-Mashariki.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hkakabo Razi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |