Bonde la Honde linaanzia kutoka mpaka wa mashariki ya Zimbabwe hadi Msumbiji. Bonde hilo ni sehemu ya miinuko ya mashariki. Bonde hili lipo takriban kilomita 130 kutoka Mutare na kilomita 110 kutoka Nyaga. Milima ya Nyanga na mbuga za Nyanga kwa pamoja zinaunda mpaka wa magharibi wa bonde.

Bonde la Honde (3140413431)

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Honde kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.