Mutare ni mji wa Zimbabwe, makao makuu ya mkoa wa Manicaland.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa kuwa 225,000[1].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mutare kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.