Horikawa wa Japani

Horikawa (8 Agosti, 10799 Agosti, 1107) alikuwa mfalme mkuu wa 73 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Taruhito, na alikuwa mwana wa pili wa Tenno Shirakawa. Mwaka wa 1087 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake, Toba.

Ishara za mapambo (kiri) za ukoo wa Hosokawa hupatikana huko Ryōan-ji. Horikawa ni miongoni mwa watawala wengine sita waliowekwa ndani karibu na ile iliyokuwa makazi ya Hosokawa Katsumoto kabla ya Vita vya Ōnin.

Angalia pia

hariri
  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Horikawa wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.