Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre

Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Center ni hospitali ya rufaa iliyopo wilaya ya Arusha Mjini, mkoa wa Arusha nchini Tanzania.

Hospitali hiyo ilianzishwa mwaka wa 2008 ili kuhudumia ongezeko la uhitaji wa huduma za kiafya ndani ya jiji la Arusha. Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Center (ALMC) ina jumla ya vitanda 100.

Marejeo

hariri