Hospitali ya IST (kwa kirefu Information Solution for Telemedicine) ilianzishwa mwaka 1998 kama mpango huru wa kitabibu wa kujitolea pasipo na faida,lakini kufikia mwaka 1999 ilijengwa rasmi na kuwa na vifaa vya kamili vya kitabibu [1]

Ni hospitali inayopatikana katika mkoa wa Dar es Salaam eneo la Msasani

Ni hospitali ambayo inatoa huduma katika mfumo wa kiuanachama kwa mashirika,kampuni na watu binafsi [2]

Marejeo hariri

  1. International School of Tanganyika CampusDar es Salaam Ruvu Street, 0746 499411 0718 783393, Istclinic@istclinic.com. "ABOUT". IST Clinic (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2020-03-07. 
  2. https://www.myguidetanzania.com/services/ist-clinic