Hovhannes Bachkov (amezaliwa 2 Desemba 1992) ni mwanamasumbwi wa Armenia.

Bachkov kwenye Olimpiki ya 2016
Bachkov kwenye Olimpiki ya 2016

Alishiriki katika michezo ya uzani wa kati katika  Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya 2016, lakini aliondolewa katika pambano la pili.[1][2] Alishinda medali ya shaba kwenye michezo ya  olimpiki ya Majiraya joto ya 2020 huko Tokyo.

Marejeo

hariri
  1. "BACHKOV Hovhannes - Olympic Boxing | Armenia". web.archive.org. 2016-08-15. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-15. Iliwekwa mnamo 2021-11-29.
  2. "Olympedia – Hovhannes Bachkov". www.olympedia.org. Iliwekwa mnamo 2021-11-29.