Hussen Yahya Katanga
Hussen Yahya Katanga ni katibu Mkuu Kiongozi katika serikali ya Tanzania chini ya utawala wa rais Samia Suluhu Hassan. Aliteuliwa kuwa katibu mkuu tarehe 31 Machi 2021 [1] na kabla ya hapo alikuwa balozi wa Tanzania nchini Japani [2]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hussen Yahya Katanga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |