Katibu Mkuu Kiongozi (Tanzania)
Katibu Mkuu Kiongozi
(Elekezwa kutoka Katibu Mkuu Kiongozi)
Katibu Mkuu Kiongozi ni katibu mkuu wa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na mtendaji mkuu katika utumishi wa umma na katibu wa baraza la mawaziri [1]. Ndiye mshauri mkuu wa rais katika mambo yanayohusiana na nidhamu katika utumishi wa umma.
Orodha ya Makatibu Wakuu
haririHii ni orodha ya makatibu wakuu tangu uhuru wa Tanzania hadi sasa
- Dunstan A. Omary 1962- 1964
- Joseph A. Namata 1964-1967
- Dickson A. Nkembo 1967-1974
- Timothy Apiyo 1974-1986
- Paul M. Rupia 1986-1995
- Martene Y.C Lumbanga 1995-2006
- Philimon L. Luhanjo 2006-2011
- Ombeni Sefue 2012-2016 [2]
- John William Kijazi 2016-2021
- Bashiru Ally 2021-2021
- Hussein Athuman Kattanga 2021
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |