"I Still Believe" ni wimbo wenye miondoko ya pop uliotungwa na Antonina Armato kwa kushirikiana na Giuseppe Cantarelli na kwa mara ya kwanza ulirekodiwa na Brenda K. Starr. Ni wimbo wa mapenzi wenye mashairi yanayoelezea jinsi yeye na mpenzi wake ambavyo hawatakuwa pamoja tena, lakini anaamini kuwa ipo siku watakuwa pamoja. Wimbo huu ulirudiwa na mwanamuziki wa Mariah Carey na pia mwimbaji mwingine aitwae Sandy Lam

“I Still Believe”
“I Still Believe” cover
Single ya Brenda K. Starr
kutoka katika albamu ya Brenda K. Starr
Muundo CD single
Aina Pop
Urefu 3:50
Studio MCA
Mtunzi Antonina Armato, Giuseppe Cantarelli
Mtayarishaji E. Deodato
Mwenendo wa single za Brenda K. Starr
"Breakfast in Bed"
(1987)
"I Still Believe"
(1988)
"What You See Is What You Get"
(1988)

Toleo la Brenda K. Starr

hariri

Brenda K. Starr alirekodi wimbo huu katika albamu yake ya Brenda K. Star, iliyotayarishwa na E.Deadato. Wimbo huu unaelezea historia ya kweli iliyowahi kumtokea moja ya waandishi wake wa nyimbo aitwaye, Antonia Armato. Ambapo mchumba wa Arnato alimwomba waoane lakini Armato akaona si muda muafaka, lakini mchumba wake huyo, akmpa masharti kuwa, ni aidha waoane au waachane. Japokuwa Armato alimpenda mwezi wake huyo, lakini kwa vile hakuwa tayari kuolewa kwa wakati ule, uhusiano wao wa kimapenzi ukavunjika. Katika hali ya kujifariji, Armato aliandika wimbo huu.

Ulitoka kama single ya kwanza katika albamu ya Starr iliyotoka mwaka 1988, na kushika nafasi ya 13 katika chati ya Marekani ya Billboard Hot 100, na kuufa nya wimbo huu, kuwa ndio wimbo pekee kutoka kwa Starr kufika katika nyimbo ishirini bora za Marekani. Video ya wimbo huu, inamwonesha Starr akiwa anaimba katika nyumba huku akipita katika makundi ya wapenzi. Wimbo huu ndio unasemekana kuwa ndio wimbo wenye kumtambulisha japokuwa mwaka 1996, alirekodi toleo lingine la wimbo huu huu.

Chati (1988) Ilipata
nafasi
U.S. Billboard Hot 100 13
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary Tracks 14

Toleo la Mariah Carey

hariri
“I Still Believe”
 
Single ya Mariah Carey
kutoka katika albamu ya #1's
Muundo CD single, cassette single, 7" single
Aina Pop, R&B
Urefu 3:54
Studio Columbia
Mtayarishaji Mariah Carey, Stevie J, Mike Mason
Certification Platinum (U.S.)
Mwenendo wa single za Mariah Carey
"I Still Believe"
(1999)
"Heartbreaker"
(1999)

Mariah Carey aliimba wimbo huu na kuujumuisha katika albamu yake yake ya nane akishirikiana na Stevie J na Mike Mason ya 'Number 1, ambapo wimbo huu ulitolwa kama single ya tatu kutoka katika albamu hii mnamo mwaka 1999. Pia alirekodi wimbo huu kwa ajili ya Starr katika kutangaza single ya Starr katika kipindi cha mwaka 1980, na ambapo Starr ndiye aliyemsaidia Carey katika kuanza shughuli za muziki kwa kumtambulisha kwa mkurugenzi wa studio za Sony Music Entertainment aitwa ye Tommy Mottola, ambaye ndiye aliyeandika mkataba wa kwanza na Carey.

Tofauti na single zilizotangulia na kupata nafasi mbalimbali katika chati za nchini humo, wimbo wa I Still Belive ulipata mafanikio zaid nchini Uingereza ukilinganisha na maeneo mengine. Wimbo huu ulifanikiwa kufika katika nafasi ya nne katika chati ya Billboard Hot 100. Halikadhalika wimbo huu uliweza kufika katika nafasi ya 36, katika nyimbo 100 bora za mwaka 1999. Nje ya Marekani, wimbo huu uliweza kufika katika nafasi za wastani kama vile, Nchini Uingereza uliweza kuingia katika nyimbo ishirini bora. Nchini Canada wimbo huu ulifanikiwa kuingia katika nyimbo kumi bora, lakini haukufanikiwa kuingia katika nyimbo arobaini bora nchini Australia au Ujerumani

Video ya Muzik

hariri
 
Carey wakati wa kutengeneza video ya wimbo wa "I Still Believe".

Video ya wimbo huu iliongozwa na Brett Ratner ambapo ailihamasikwa na kitendo cha Marilyn Monroe kutembelea nchini vikosi vya kijeshi ya Marekani vilivyokuwa nchini Korea mwaka 1953. Inamwonesha Carey ambaye alikuwa amefananisha nywele zake na za Monroe huku akijaribu kucheza kama Judy Garland, alipokuwa ametembelea katika vikosi vya anga vya Edwards katika jimbo la Califonia, na kuimba kwa ajili ya wanaanga hawa kama vile Monroe alivyofanya wakati wa vita vya Korean War

Muundo na orodha ya nyimbo

hariri

Australian CD single

  1. "I Still Believe" (Album Version)
  2. "I Still Believe" (David Morales Remix Edit)
  3. "I Still Believe" (The Eve Of Sould Mix)

European CD single

  1. "I Still Believe" (Album Version)
  2. "I Still Believe" (Morales' Classic Club Mix Edit)

U.S. CD single

  1. "I Still Believe / Pure imagination" (Damizza Reemix Edit featuring Krayzie Bone & Da Brat)
  2. "I Still Believe" (Morales' Classic Club Mix Edit)

Australian CD maxi-single

  1. "I Still Believe" (Album Version)
  2. "I Still Believe" (David Morales Remix Edit)
  3. "I Still Believe" (The Eve Of Sould Mix)
  4. "I Still Believe / Pure imagination" (Damizza Reemix featuring Krayzie Bone & Da Brat)
  5. "I Still Believe" (Stevie J. Clean Remix featuring Mocha & Amil)

European CD maxi-single #1

  1. "I Still Believe" (Album Version)
  2. "I Still Believe" (Morales' Classic Club Mix Edit)
  3. "I Still Believe" (Morales' Classic Club Mix)
  4. "I Still Believe" (The Eve Of Souls Mix)
  5. "I Still Believe" (The Kings Mix)
  6. "I Still Believe" (The Kings Mix Instrumental)

European CD maxi-single #2

  1. "I Still Believe" (Album Version)
  2. "I Still Believe / Pure imagination" (Damizza Reemix featuring Krayzie Bone & Da Brat)
  3. "I Still Believe" (Stevie J. Remix featuring Mocha & Amil)
  4. "I Still Believe" (Stevie J. Clean Remix featuring Mocha & Amil)
  5. "I Still Believe / Pure imagination" (Damizza Reemix A Cappella featuring Krayzie Bone & Da Brat)

Japanese-U.S. CD maxi-single

  1. "I Still Believe" (Album Version)
  2. "I Still Believe" (Stevie J. Clean Remix featuring Mocha & Amil)
  3. "I Still Believe" (Morales' Classic Club Mix)
  4. "I Still Believe / Pure imagination" (Damizza Reemix featuring Krayzie Bone & Da Brat)
  5. "I Still Believe" (The Kings Mix)

UK CD maxi-single #1

  1. "I Still Believe" (Morales' Classic Club Mix)
  2. "I Still Believe" (Morales' Classic Club Mix - UK Edit)
  3. "I Still Believe" (The Eve Of Souls Mix - UK Edit)

UK CD maxi-single #2

  1. "I Still Believe" (Album Version)
  2. "I Still Believe" (Stevie J. Remix featuring Mocha & Amil)
  3. "I Still Believe / Pure imagination" (Damizza Reemix featuring Krayzie Bone & Da Brat)

Chati (1999) Ilipata
nafasi
Australian Singles Chart[1] 54
Belgian Singles Chart (Flanders)[2] 48
Belgian Singles Chart (Wallonia)[3] 25
Canadian Singles Chart[4] 9
Dutch Singles Chart[5] 51
European Singles Chart[6] 30
French Singles Chart[7] 33
German Singles Chart[8] 58
New Zealand Singles Chart[9] 24
Spanish Singles Chart[10] 7
Swiss Singles Chart[11] 31
UK Singles Chart[12] 16
U.S. Billboard Hot 100[13] 4
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary Tracks[13] 8
U.S. Billboard Hot Dance Club Play[13] 1
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs[13] 31

Wasambazaji Mauzo Certification
United States 1,000,000+ Platinum

1 "I Still Believe / Pure Imagination"

Matole mengine

hariri

Mwaka 1989, Mwanamuziki wa Hong Kong aitwaye Sandy Lam aliurudia wimbo huu na kuuita jina moja la ("Still"). na pia aliwahi kurudia wimbo huu kwa kiingereza mwaka 1990. Mwanamuziki wa nchini Jamaica Beenie Man alitumia mashairi mengi kutoka katika wimbo huu katika wimbo wa Crazy Notion uliokuwa katika albamu yake ya Art and Life iliyotoka mwaka 2000

Marejeo

hariri
  1. Australian Singles Chart
  2. Belgian Flanders Singles Chart
  3. Belgian Wallonia Singles Chart
  4. Canadian Singles Chart
  5. Dutch Singles Chart
  6. "European Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-25. Iliwekwa mnamo 2010-01-24.
  7. French Singles Chart
  8. German Singles Chart
  9. "New Zealand Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-04-16. Iliwekwa mnamo 2010-01-24. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://web.archive.org/web/20120416003834/http://charts.org.nz/showitem.asp?interpret= ignored (help)
  10. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-08. Iliwekwa mnamo 2010-01-24.
  11. Swiss Singles Chart
  12. UK Singles Chart
  13. 13.0 13.1 13.2 13.3 "Artist Chart History - Mariah Carey". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-04-04. Iliwekwa mnamo 2008-04-04.