Ibtissam Lachgar

Mwanaharakati wa wanawake wa Moroko na haki za binadamu

Ibtissam Betty Lachgar pia inaandikwa Ibtissame [1] (kiarabu: ابتسام لشكر) (alizaliwa agosti, 1975) ni mwanamaendeleo ya saikolojia[2] nchini Moroko wa haki za binadamu na wakili wa LGBT. Ni miongoni mwa waanzilishi wa harakati za MALI (Mouvement alternatif pour les libertés individuelles). Yeye ni moja kati ya watu wa Moroko wasioamini kwamba kuna Mungu.

Ibtissam Lachgar
Lachgar akiwa ameshikilia tuzo yake ya Sheria ya Moja kwa Wote katika Kongamano la Kidunia la mwaka 2018 huko London.
Lachgar akiwa ameshikilia tuzo yake ya Sheria ya Moja kwa Wote katika Kongamano la Kidunia la mwaka 2018 huko London.
Alizaliwa 1975
Nchi Moroko
Kazi yake mwanamaendeleo ya saikolojia

Marejeo.

hariri
  1. Khalil, Andrea (2016-04-14). Gender, Women and the Arab Spring (kwa Kiingereza). Routledge. ISBN 978-1-317-59916-6.
  2. Beekmans, Kees (2011-05-25). Tussen hoofddoek en string: de verandering van een Arabisch land van binnenuit beschreven (kwa Kiholanzi). Nieuw Amsterdam. ISBN 978-90-468-0935-8.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ibtissam Lachgar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.