Idd Mohamed Azzan

(Elekezwa kutoka Iddi Mohamed Azzan)

Idd Mohamed Azzan (amezaliwa tar. 8 Oktoba 1965) ni Mbunge wa jimbo la Kinondoni katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu Iddi Mohamed Azzan (13 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-05-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nje hariri