Iddy Nado

Mwanasoka wa Tanzania

Iddy Nado (alizaliwa_ 3 Novemba 1995), Wilayani Kondoa mkoani Dodoma. Ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Tanzania ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Azam F.C. iliyopo katika Ligi Kuu nchini Tanzania.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Iddy Nado kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.