Idris Abdul Wakil
Idris Abdul Wakil (10 Aprili 1925 - 15 Machi 2000)[1] ni mwanasiasa wa Tanzania aliyewahi kuwa rais wa Zanzibar kuanzia 24 Oktoba 1985 hadi 25 Oktoba 1990.[2]
Idris Abdul Wakil | |
Rais wa 4 wa Zanzibar
| |
Muda wa Utawala 24 Oktoba 1985 – 25 Oktoba 1990 | |
mtangulizi | Ali Hassan Mwinyi |
---|---|
aliyemfuata | Salmin Amour |
tarehe ya kuzaliwa | 10 Aprili 1925 Usultani wa Zanzibar |
tarehe ya kufa | 15 Machi 2000 Zanzibar City, Zanzibar |
mahali pa kuzikiwa | Makunduchi |
utaifa | Tanzania |
chama | CCM |
chamakingine | Afro-Shirazi Party |
dini | Uislamu |
Tanbihi
hariri- ↑ "Abdul Wakil, Idris". rulers.org. Iliwekwa mnamo 12 Desemba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Balloting on Zanzibar". Los Angeles Times. 14 Oktoba 1985. Iliwekwa mnamo 31 Mei 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Idris Abdul Wakil kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |