Salmin Amour (amezaliwa 1942) ni mwanasiasa wa Tanzania aliyewahi kuwa rais wa Zanzibar kuanzia 25 Oktoba 1990 hadi 8 Novemba 2000.

Salmin Amour
سلمين عمور
 Dr.

Rais wa 5 wa Zanzibar
Muda wa Utawala
25 Oktoba 1990 – 8 Novemba 2000
mtangulizi Idris Abdul Wakil
aliyemfuata Amani Abeid Karume

tarehe ya kuzaliwa 1942
Mkwajuni, Zanzibar
utaifa Tanzania
chama CCM
ndoa Bi Azza
watoto 12
makazi Zanzibar
mhitimu wa PhD Leipzig University (formerly Carl Marx party College Berlin) - German 1986.
dini Uislamu

Alichaguliwa kwa asilimia 98 za kura akiwa mgombea pekee.[1]

Tanbihi

hariri
  1. Kalley, Jacqueline Audrey; Schoeman, Elna; Andor, Lydia Eve (1999). Southern African political history: a chronology of key political events from independence to mid-1997. Greenwood Publishing Group. uk. 631. ISBN 0-313-30247-2.
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salmin Amour kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.