Ignition (wimbo)
"Ignition (Remix)" (pia huitwa kwa kifupi kama "Ignition") ni wimbo uliotungwa na kutayarishwa na mwimbaji wa R&B R. Kelly. Wimbo huu umeingizwa kwenye albamu yake ya mwaka wa 2003 ya Chocolate Factory. Ulitazamiwa kama moja kati ya alama ya nyimbo zake na ulikuwa maarufu sana nchini Marekani na huko barani Ulaya.
“Ignition (Remix)” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya R. Kelly kutoka katika albamu ya Chocolate Factory | |||||
B-side | "Apologies of a Thug", "What Do I Do" | ||||
Imetolewa | 30 Aprili 2003 | ||||
Imerekodiwa | 2002 | ||||
Aina | Pop, R&B | ||||
Urefu | 3:09 | ||||
Studio | Jive | ||||
Mtunzi | R. Kelly | ||||
Mtayarishaji | R. Kelly | ||||
Certification | Gold (UK & Australia) | ||||
Mwenendo wa single za R. Kelly | |||||
|
Wimbo uliorodheswa katika nafasi ya #19 kwenye ya nyimbo bora 500 za miaka ya 2000 za Pitchfork.
Chati
haririChati | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Australia ARIA Singles Chart | 1 |
New Zealand RIANZ Singles Chart | 1 |
UK Singles Chart | 1 |
U.S. Billboard Hot 100 | 2 |
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ignition (wimbo) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |