Ileret ni kijiji cha kaunti ya Marsabit, Kenya kaskazini. Pia ni kata ya eneo bunge la Horr Kaskazini[1].

Ileret
Nchi Kenya
Kaunti Marsabit
Maelezo ya kina ya mchoro wa nyayo ya mtu huko Laetoli

Tanbihi hariri