Ines Eichmüller (alizaliwa 1 Mei 1980) ni mwanasiasa na mwanaharakati wa kisiasa nchini Ujerumani. Pia ni mwanachama mwanzilishi wa shirika rasmi la vijana la chama cha kisiasa cha Chama cha Kijani cha Ujerumani, na aliwahi kuwa msemaji wa kitaifa wa Vijana wa chama cha kijani tangu mwaka 2003 hadi 2005.

Ines Eichmüller

Eichmüller alihudumu kama rais wa Baraza la Shirikisho la Wanawake la Chama cha Kijani tangu mwaka 2004 hadi 2010 na, mnamo mwaka 2009, alikuwa msemaji wa tawi la Gostenhof la chama. Ines Eichmüller ameolewa na Tessa Ganserer,mtu wa kwanza aliyebadili jinsia waziwazi aliyekua akihudumu katika bunge la Ujerumani.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ines Eichmüller kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.