Ingeborg Rapoport
Ingeborg Rapoport (2 Septemba 1912 – 23 Machi 2017) alikuwa daktari wa watoto wa Ujerumani ambaye alikuwa mashuhuri katika tiba ya Ujerumani Mashariki na akiwa na umri wa miaka 102 alikuwa mtu mwenye umri mkubwa zaidi kupokea shahada ya uzamivu.[1][2][3]
Marejeo
hariri- ↑ Einflussfaktoren auf das Geschlechtsverhältnis der Neugeborenen unter besonderer Betrachtung der Wirkung ionisierender Strahlung (see fig. 2), verwaltungsvorschriften-im-internet.de; retrieved 13 May 2016.Kigezo:In lang
- ↑ Prof. Dr. Roland R. Wauer, Deutsche Gesellschaft für Kinder- und Jugendmedizin e.V. (DGKJ) Archived 14 Aprili 2017 at the Wayback Machine., 31 August 2012.
- ↑ James Graff, Ingeborg Rapoport to Become Oldest Recipient of Doctorate After Nazi Injustice is Righted, The Wall Street Journal, 14 May 2015.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ingeborg Rapoport kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |