Isaac L. Auerbach (Oktoba 9, 1921- Disemba 24, 1992)[1] alikuwa miongoni wa waanzilishi na watetezi wa teknolojia za kompyuta anayeshikilia hataza 15. Alikuwa rais mwanzilishi wa Shirikisho la Kimataifa la Uchakataji wa Habari (IFIP) kuanzia mwaka 1960 hadi 1965[2][3], mwanachama wa National Academy of Sciences, mkurugenzi kwenye shirika la Burroughs na mvumbuzi wa kompyuta za awali za Sperry Univac. IFIP lilianzisha tuzo kwa jina lake.

Marejeo

hariri
  1. Marquis Who's Who (1996). Who was who in America : with world notables. Internet Archive. Reed Elsevier. ISBN 978-0-8379-0225-8.
  2. "IT History Society". web.archive.org. 2012-04-03. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-04-03. Iliwekwa mnamo 2022-07-28.
  3. "The Day of the President". www.ifip.org. Iliwekwa mnamo 2022-07-28.