Isabel Hampton Robb
Isabel Adams Hampton Robb (1859–1910) alikuwa muuguzi wa Marekani, mwanafalsafa wa uuguzi, mwandishi, msimamizi wa shule za uuguzi, na kiongozi wa awali katika taaluma ya uuguzi.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Brilliant, Creative, Dedicated, Driven, Inspired and Inspiring: Isabel Adams Hampton Robb 1860-1890" (PDF). NEAA (Spring): 5. 2008. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2015-04-02.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Isabel Hampton Robb kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |