Isabella Cortese

Alchemist na mwandishi wa Italia wa karne ya 16

Isabella Cortese alikuwa mwandishi, tabibu na mwanakemia wa Italia wakati wa karne ya 16 (renaissance) Aliandika I secreti della signora Isabella Cortese (1561) [1].

Kitabu chake.

Marejeo

hariri
  1. http://meredith-ray.squarespace.com/isabella-cortese/
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isabella Cortese kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.